NEWS FROM DAR tv

 mambo vipi ndugu zangu hi ni bligger kwajili ya habari na matukio nje na hapo utapata habari za ndani ya nchi na nje ya nchi kwa ujumla  ukiwa kama mdau wa habari  naomba support yako kwa hali na mali kwa sababu wewe ni mtu muhimu kwangu bila wewe mimi sio kitu  naomba ushirikiano mkubwa na wenye tija ili kukusanya habari za uhakika na kweli

nitahakikisha unapata habari kwa uhakika ili kukuhabarisha  na uzipate habari ambazo  zitafanya uzidi kutuamini 

Comments