Posts

Showing posts from April, 2021

CHANGAMOTO NA MUSIC KWA NOELY CHAMBUA

Image
 Huyu ni mwimbaji wa nyimbo za injili tanzania Anaitwa NOELY CHAMBUA Aliuanza music yapata miaka 5 sasa lakin mpaka sasa ana nyimbo mbili tu. Una kipi cha kumuuliza ili kujua changamoto zake na maisha yake ya music kwa ujumla. Sisi kama newsbecktv. tulimtafuta na tukayanua mengi. Tumezungumzanae lkn amezitaja changamoto nyingi ambazo ni chanzo cha kudumu muda mrefu bila kufanya kazi ya mungu kwa njia ya uwimbaji ilikuwa vema  umtafute ili kujua changamoto zake.  Tunaomba comment zako ili kutoa support kwa ndugu NOELY CHAMBUA kwa mawasiliano mpigie +255768239580

NEWS FROM DAR tv

Image
 mambo vipi ndugu zangu hi ni bligger kwajili ya habari na matukio nje na hapo utapata habari za ndani ya nchi na nje ya nchi kwa ujumla  ukiwa kama mdau wa habari  naomba support yako kwa hali na mali kwa sababu wewe ni mtu muhimu kwangu bila wewe mimi sio kitu  naomba ushirikiano mkubwa na wenye tija ili kukusanya habari za uhakika na kweli nitahakikisha unapata habari kwa uhakika ili kukuhabarisha  na uzipate habari ambazo  zitafanya uzidi kutuamini