CHANGAMOTO NA MUSIC KWA NOELY CHAMBUA
Huyu ni mwimbaji wa nyimbo za injili tanzania Anaitwa NOELY CHAMBUA Aliuanza music yapata miaka 5 sasa lakin mpaka sasa ana nyimbo mbili tu.
Una kipi cha kumuuliza ili kujua changamoto zake na maisha yake ya music kwa ujumla. Sisi kama newsbecktv. tulimtafuta na tukayanua mengi.
Tumezungumzanae lkn amezitaja changamoto nyingi ambazo ni chanzo cha kudumu muda mrefu bila kufanya kazi ya mungu kwa njia ya uwimbaji ilikuwa vema umtafute ili kujua changamoto zake.
Tunaomba comment zako ili kutoa support kwa ndugu NOELY CHAMBUA kwa mawasiliano mpigie +255768239580
Comments
Post a Comment